jaridahuru

MICHEZO: SHIRIKISHO LA SOKA TANZANIA (TFF) LACHIMBA MKWARA MZITO, LAAHIDI KUTOFUMBIA MACHO VITENDO VYA RUSHWA

Dar es Salaam. Wakati pazia la usajili likifungwa leo, Bodi ya Ligi kwa kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limesisitiza...

EPL: SAMWEL ETOO SASA ALAMBA MKATABA MPYA WA MIAKA 2 EVERTON. AAHIDI KUFANYA MAKUBWA

Samwel Eto’o akisaini mkataba wa miaka miwili kuitumikia Everton. Everton imetangaza kumsajili mshambuliaji Mcameroon, Samuel Eto...

SOKA: TP MAZEMBE, SETIF ZATINGA HATUA ZA NUSU FAINALI KLABU BINGWA BARA LA AFRIKA

Setif imejiunga na Mazembe katika kufuzu nusu fainali Timu ya Alge...

SOKA: LIVERPOOL YAANZA KUONESHA MAKALI YA MSIMU UJAO, YACHABANGA BORUSIA 4:0

Liverpool inajianda kwa msimu mpya wa ligi ya Uingereza Mshambulizi ...

SOKA: ARSENAL YAITANDIKA MAN CITY GOLI 3-0 NA KUNYAKUA KOMBE LA NGAO YA JAMII UINGEREZA

Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0. Santi Carzola akishangili...

SOKA: "VAN GAAL HAKUNIOMBA NIWE MSAIDIZI WAKE, ALINIAMBIA NIWE" AKIRI RYAN GIGGS

During a TV documentary charting his final playing season at Manchester United, Ryan Giggs is shown getting angry in the wake of a home de...

USAJILI: MONACO YAINGIA VITANI NA REAL MADRID KUISAKA SAINI YA TORRES

Monaco na Atletico Madrid wanaitaka saini ya Fernando Torres. KLABU ya Monaco imeingia katika vita na Atletico Madrid kuiwinda saini ya...

SOKA: WACHEZA 6 WA TIMU YA SHAKHTAR DONETSK WAGOMA KURUDI KIKOSINI, WADAI BADO UKRAINE KUNA VITA

WACHEZAJI 6 wa Shakhtar Donetsk wamekataa kurudi Mji wa Donetsk huko Ukraine kutokana na Vita ya wenyewe kwa wenyewe Nchini humo. ...

MICHEZO: TAIFA STARS YATOA SULUHU YA 2 - 2 NA BLACK MAMBAS YA MSUMBIJI, KHANIS MCHA APACHIKA YOTE 2

 Mshambuliaji wa timu ya soka ya Tanzania, Taifa Stars, Mbwana Samatta akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa Msumbiji katika mchezo u...

WC 2014: RAISI WA FIFA NA MARADONA WAIPONDA TUZO ALIYOPEWA, WASEMA HAKUSTAHILI TUZO HIYO

  Rais wa Fifa Sepp Blatter amesema ameshangazwa kuwa Lionel Messi alishinda tuzo ya mchezaji bora - Golden Ball Award- katika K...

WC 2014: UJERUMANI YALAMBISHA JOKER BRAZIL, YATANDIKA 7-1 NA KUTINGA FAINALI, SIRI NZITO YAFICHUKA BAADA YA MECHI

UJERUMANI imetinga Fainali ya Kombe la Dunia, baada ya kuwafumua wenyeji, Brazil mabao 7-1 katika mcheo wa Nusu Fainali uliofanyika Uwanj...

WC 2014: ALGERIA YAPOKELEWA KIFALME KUTOKA BRASIL

Kwenye kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kweny...

WC 2014: UJERUMANI YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA DUNIA BAADA YA KUILAZA ALGERIA KWA GOLI 2-1

Wafungaji mabao ya Ujerumani Mesut Ozil na Andre Schurrle Mechi ime...

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

index