SOKA: ARSENAL YAITANDIKA MAN CITY GOLI 3-0 NA KUNYAKUA KOMBE LA NGAO YA JAMII UINGEREZA
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/08/soka-arsenal-yaitandika-man-city-goli-3.html
Arsenal wakiwa na Ngao ya Jamii baada ya kuipiga Manchester City 3-0.
Santi Carzola akishangilia bao lake la kwanza kwa Arsenal.
Aaron Ramsey akifunga bao la pili kwa Arsenal.
Bao la tatu la Arsenal lililofungwa na Olivier Giroud.
Raha ya ushindi.
KLABU ya Arsenal imefanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii baada ya kuichapa
Manchester City mabao 3-0 katika mechi iliyopigwa Uwanja wa Wembley
jijini London usiku huu. Mabao ya Arsenal yamewekwa kimiani na Cazorla
21, Ramsey 42 na Giroud 60.