jaridahuru

MICHEZO: MANYIKA HARUDI SINGIDA UNITED NG'OO (BABA WA MANYIKA)

BABA mzazi na Meneja wa kipa wa Singida United, Peter Manyika, Manyika Peter amesema kuwa mwanawe hawezi kurudi katika timu hiyo licha ya...

SOKA: BAADA YA MAGWIJI WA MADRID KUKITWANGA NA TZ SASA NI ZAMU YA MAGWIJI WA BARCELONA KUJA TZ..SOMA HAPA

Mshambuliaji wa zamani wa FC Barcelona na timu ya Taifa ya Uholanzi Patrick Kluivert alizungumzia ujio wa magwiji FC Barcelona nchini mwe...

BETTING: WAZEE WA MKEKA MPO? HAYA KAMA UNATAKA KUCHUKUA PESA YA KUBETI ANGALIA UTABIRI HUU WA USHINDI ILI USIINGIE CHAKA

Sasa Jaridahuru inakupa uwezo wa kuwa proffesional katika betting a.k.a Kuweka mkeka kwa kukusaidia katika kuangalia uwezekano wa kushinda ...

AFCON: IVORY COAST YATINGA FAINALI ZA AFCON, YAYA TOURE AONGEA YA MOYONI KWA VITENDO VYA WACHAZAJI WENZAKE

Malabo, Guinea ya Ikweta.  Ivory Coast imefuzu kucheza Fainali ya Mataifa ya Afrika baada ya kuichapa DR Congo kwa mabao 3-1 kwenye Uwan...

EPL: UHAMISHO WA MCHEZAJI EMMANUEL ADEBAYOR WAGONGA MWAMBA BAADA YA TOTENHAM KUGOMEA UHAMISHO

Daniel Levy aliingilia kati ili kusitisha uhamisho wa mshambuliaji nyota Emmanuel Adebayor aliyetaka kujiunga na West Ham kutoka Tottenha...

SOKA: MAN U YAFUZU HATUA NYINGINE, YAIBAMIZA CAMBRIDGE GOLI TATU (3) BILA (0)

SOKA: SHAABAN KISIGA AAPA KUTORUDI SIMBA! ASEMA VIONGOZI WA SIMBA WANATAKIWA KUBADILIKA NA KUACHA UDIKTETA

Na Martha Mboma BAADA   ya kuripotiwa kuondoka kambini bila kuwepo kwa taarifa rasmi na kushindwa kuungana na kikosi chake, kiungo ...

SOKA: YANGA MTASUBIRI SANA KUVUNJA REKODI HIZI SA WEKUNDU WA MSIMBAZI - SIMBA

SIMBA na Yanga ni watani wa jadi. Jambo linalofanyika Simba kwa namna moja ama nyingine litakuwa na tambo kwa Yanga. Simba ikishinda...

SOKA-BONGO: JKT RUVU YAIBANA MBAVU MBEYA CITY, WATOA SULUHU YA BILA KUFUNGANA

  Wabishi wa jiji la Mbeya klabu ya Mbeta City leo imejikuta ikilegea kwa maafande wa JKT Ruvu baada ya kukubali kugawana ponti moja moja ...

SOKA-BONGO: WAKATA MIWA KAGERA SUGAR WAPOKEA KIPIGO CHA 1-0 KUTOKA KWA MGAMBO.

Klabu ya Mgambo JKT kutoka mkoani Tanga leo imewapigisha kwata wakata miwa wa Bukoba Kagera Sugar kwa kuichapa bao 1-0 katika mchezo wa ...

SOKA ULAYA: MATOKEO YA MECHI ZA JANA JUMAMOSI KATIKA LIGI MBALI MBALI ULAYA, LIVERPOOL YAGONGWA 3:1 NA WESTHAM

Liverpool imeambulia kichapo chake cha tatu katika mechi 5 za ligi kuu ya premia ya Uingereza huko Upton Park. Washindi hao wa pil...

TZ: MOROCCO YAITOLEA NJE TAIFA STARS MECHI ILIYOOMBA YA KIRAFIKI, SASA TAIFA STARS YAWAMEZEA MATE WARUNDI

Wachezaji wa timu ya Taifa ya soka ya Tanzania wakiwa mazoeini. Baada ya kocha mkuu wa timu ya Taifa ya Tanzania Mart Nooij ku...

CURLING: VAN GAAL WA MAN U ADAI ALITEGEMEA KIPIGO WALICHOPATA CHA 4:0 USIKU WA JUMANNE

Mshambuliaji Javier Hernandez Chicharito kulia wa Man United akigombea mpira na beki wa MK Dons Kocha wa Manchester United, L...

UEFA: SANCHEZ AIPAISHA ARSENAL KUINGIA HATUA YA MAKUNDI BAADA YA KUPACHIKA GOLI LA KWANZA ARSENAL.

Mchezaji kutoka chile aliyekuwa akikipiga Barcelona na kununuliwa Arsenal Alexis Sanchez, ameipa timu ya Arsenali nafasi ya kuingia ha...

KAGAME CUP-RWANDA 2014: SAFU ROBO FAINALI YAKAMILIKA, MECHI KUCHEZWA JUMANNE NA JUMATANO

Rayon FC Mechi za Makundi za Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, yanayoendelea huko Kigali, Rwanda z...

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

index