EPL: SAMWEL ETOO SASA ALAMBA MKATABA MPYA WA MIAKA 2 EVERTON. AAHIDI KUFANYA MAKUBWA
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/08/epl-samwel-etoo-sasa-alamba-mkataba.html
Everton imetangaza kumsajili mshambuliaji Mcameroon, Samuel Eto’o kwa mkataba wa miaka miwili kama mchezaji huru.
Mpachika mabao huyo mwenye umri wa miaka 33 alitemwa na Chelsea mwishoni mwa msimu uliopita na amejiunga na Everton baada ya dili la kujiunga na Liverpool kushindikana.
Liverpool ilitaka kumsajili Eto’o iwapo ingemkosa Mario Balotelli, lakini baada ya kumnasa mtukutu huyo, dili hilo limekufa kifo cha kawaida.