jaridahuru

Mitandao

JAMII: AJALI MBAYA YATOKEA HUKO MAKONGO JIJINI DAR, 6 WAPOTEZA MAISHA. (Tahadhari, Picha zinatisha)

watu  Watu kadhaa wameripotiwa kufariki Dunia kwenye ajali mbaya iliyohusisha magari matatu ikiwemo lori la mchanga huku mawili yakiwa ni ya abiria maarufu kama daladala  yanayofanya safari zake kati ya ubungo na Tegeta.

Ajali hiyo imetokea mchana kwenye eneo la kikosi cha jeshi cha Lugalo jijini Dar es salaam. Jeshi la Polisi mkoa wa Kinondoni limethibitisha kutokea kwa ajali hiyo mbaya iliyosababisha vifo vya watu 6, watatu wakiwa ni wanaume na watatu wakiwa ni wanawake huku hali za majeruhi ambao walikimbizwa hospitali ya Lugalo zikielezwa kuwa ni mbaya.

Bado jeshi la Polisi limeendelea na uchunguzi kujua iwapo dereva wa daladala hiyo lenye nambari za usajili T 377 BEF aliyesababisha ajali hiyo kama alifanya uzembe ama la.


 Habari zilizo tufikia ni kwamba ajali hii mbaya imetokea eneo la Makongo. Coaster mbili zimegongana watu 20 wamefariki hapo hapo.
Moja wapo ya Daladala aina ya Coster iliyo husika katika ajali hiyo
 R.I.P

Related

Jamii 9106478412932302381

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item