WC 2014: ALGERIA YAPOKELEWA KIFALME KUTOKA BRASIL

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/07/wc-2014-algeria-yapokelewa-kifalme.html
Kwenye
kombe la dunia linaloendelea nchini Brazil, Algeria kutoka Afrika
wameingia kwenye headlines zenye rekodi za kudumu kutoka kwenye
mashindano haya baada ya kuwa moja ya timu mbili za Africa zilizogusa
kwenye hatua nzuri kabla ya kutolewa.
Tayari timu
hii imerejea nyumbani Afrika ambapo kiukweli imepokelewa kwa shangwe
sana, na naamini hata wengine wasio Waalgeria wangeipokea timu kama hii
kutokana na ilichofanya.