jaridahuru

GARI LATEKETEA KWA MOTO LIKIWA KWENYE FOLENI JIJINI DAR.

Saa chache zilizopita katika Barabara ya Kawawa, Ilala Dar imetokea ajali ya moto, gari ndogo imewaka moto lakini hakuna mtu ali...

EVENT: TANZANIA MOVIE TALENT (TMT) AUGUST 30/2014, MLIMANI CITY, V.I.P 50,000/- 1900HRS

  Description Date 30/ 08/2014 Start Time: 1900 End Time: Mid ni...

BURUDANI: KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 MKOANI TANGA TAREHE 30 AGOSTI 2014 MKWAKWANI 3000/-

Ile tour kali ya muziki nchini, Killi Music Tour sasa ni zamu ya Tanga kukichezesha kikwetu kwetu. Wasanii wakali kama  WEUSI, Ben Pol, ...

URAIS 2015: KAULI YA KUPOKEZANA URAIS ZNZ NA TZ BARA YAWA NGUMU KUMEZA

Dar/Dodoma. Kauli ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad kuhusu haja ya kupokezana nafasi ya urais kati ...

MAAJABU: SAMAKI AINA YA NGUVA AKUTWA AMEKUFA UFUKWENI, WATU WASHANGAA UMBO LAKE, WENGINE WAZIMIA

  Samaki huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni amenekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, ujerumani....

AJIRA: NAFASI YA KAZI KATIKA BENKI YA CRDB KWA WANASHERIA. MWISHO TAREHE 23 JULY 2014

  CRDB  Bank  Plc is a leading, wholly-owned private commercial  bank in Tanzania. The  Bank  was established in 1996 and has grown a...

TAMASHA: USIKU WA MATUMAINI, NGUMI KUCHAPIKA ULINGONI, MWIGIZAJI JB VS CLOUD, WOLPER VS UWOYA, MSIKILIZE SHIGONGO

KITAIFA: N/WAZIRI WA MAJI, AMOS MAKALA ANUSURIKA BAADA YA KUZOMEWA NA WANANCHI UBUNGO, MNYIKA AMUOKOA

  MBUNGE wa Ubungo, John Mnyika (CHADEMA), amemnusuru Naibu Waziri wa Maji, Amos Makala asiendelee kuzomewa na wananchi wakati wa  z...

MAHUSIANO: UPO WAKATI HISIA ZA MSISIMKO, KUPENDA HUPOTEA KABISA KATIKA MAHUSIANO

NI somo gumu kidogo lakini ni vizuri kulijadili maana linajenga na kustawisha uhusiano. Wengi huogopa kujifunza kuhusu hili. Ndugu zangu...

BIASHARA: PINDA ATAKA MAONESHO YA SABASABA YASIMAMISHWE

Dar es Salaam. Waziri Mkuu Mizengo Pinda ameshauri Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara ya Mwalimu Julius Nyerere, maarufu kama Sabas...

JAMII: BAADA YA KUDAI KUTAKA KURUDIANA NA MUMEWE, FLORA AIBUKA TENA NA KUKOMBA KILA KITU NDANI,TAZAMA VIDEO

Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na zulia. Ilisemekana kwamba wakati hayo yakiendelea, Mbasha alikuwa ny...

UTAFITI: MTANZANIA TOKA SUA AGUNDUA CHANJO YA NDUI YA KUKU

Dar es Salaam.  Tanzania imeingia katika vitabu vya kihistoria ya tiba baada ya Profesa Philemon Wambura kugundua chanjo ya ugonjwa...

AL SHABAAB: MTU ANAE ENDESHA AKAUNTI YA TWITTER YA AL SHABAAB HUKO KENYA AKAMATWA

    Maafisa wa polisi wa Kenya wamemtia nguvuni mshukiwa anayetuhumiwa kuendesha akaunti ya Twitter ambayo ina uhusiano na kundi la...

MAKALA: NANI KASEMA UZALENDO UNAPIMWA KWA MATAMASHA YA MUZIKI?

Hivi karibuni limefanyika tamasha la uzalendo mjini Dodoma lililoshirikisha wasanii wa muziki, hasa wa kizazi kipya na waigiza filamu. ...

JH STORY: KISA CHA BINTI MARIAMU

Binti Mariamu Weekend hii kwangu ilikuwa ya tafakuri nyingi zisizo na majibu na msongo mkubwa wa mawazo. Ilikuwa weekend yenye kuu...

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

index