BURUDANI: KILIMANJARO MUSIC TOUR 2014 MKOANI TANGA TAREHE 30 AGOSTI 2014 MKWAKWANI 3000/-
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/08/burudani-kilimanjaro-music-tour-2014.html
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEgvT5CSyw91T3P8TGNnMgb_TAlZK3RrtS7xSFM3pyWRXyFdEYuFpCdKM_UUQTb5wjEB-lkFzcJyGQcGrsBglPmQpldAx6Ig7ah-YBdEWhC7FJhskSup8R6N4nU2wpnfeRbnDWPo7lFI418/s1600/3a.jpg)
Ile tour kali ya muziki nchini, Killi Music Tour sasa ni zamu ya Tanga kukichezesha kikwetu kwetu. Wasanii wakali kama WEUSI, Ben Pol, Mzee Yusuph, Khadija Kopa, Ommy Dimpoz, Rich Mavoko na Prof. Jay watatumbuiza jumamosi hii ya tarehe 30/8 katika uwanja wa Mkwakwani mjini Tanga kwa kiingilio cha shilingi 3000/= tu, kuanzia saa 10 jioni.