MAAJABU: SAMAKI AINA YA NGUVA AKUTWA AMEKUFA UFUKWENI, WATU WASHANGAA UMBO LAKE, WENGINE WAZIMIA
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/08/maajabu-samaki-aina-ya-nguva-akutwa.html
Samaki
huyu adimu kabisa duniani kumtia machoni amenekana amefariki ama
amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko BENIN, ujerumani. Kama ulidhani ni hadithi za kuhadihiwa tu ujue hivi vitu vipo na vinaishi!!Nguva