JAMII: BAADA YA KUDAI KUTAKA KURUDIANA NA MUMEWE, FLORA AIBUKA TENA NA KUKOMBA KILA KITU NDANI,TAZAMA VIDEO

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-baada-ya-kudai-kutaka-kurudiana.html
Sehemu ya chumba cha kupumzikia kilichobakiwa na kochi na zulia.
Ilisemekana kwamba wakati hayo yakiendelea, Mbasha alikuwa nyuma ya nondo za Mahabusu ya Keko jijini Dar es Salaam ambako alishikiliwa.
Kwa mujibu wa mtu aliyeambatana na Mbasha alipopata dhamana dhidi ya kesi yake inayomkabili ya ubakaji wa shemejiye mwenye umri wa miaka 17, alipofika nyumbani kwake Tabata-Kimanga, Dar alipigwa butwaa kukuta hakuna vitu ndani!