jaridahuru

Mitandao

EPL: UHAMISHO WA MCHEZAJI EMMANUEL ADEBAYOR WAGONGA MWAMBA BAADA YA TOTENHAM KUGOMEA UHAMISHO

Daniel Levy aliingilia kati ili kusitisha uhamisho wa mshambuliaji nyota Emmanuel Adebayor aliyetaka kujiunga na West Ham kutoka Tottenham katika siku ya mwisho ya dirisha la uhamisho.
Mwenyekiti huyo wa Tottenham alipinga mpango wa West Ham wa kumnunua mchezaji huyo baada ya mshambuliaji huyo wa Togo mwenye umri wa miaka 30 kukubali masharti yote.
Tottenham ilikuwa tayari kumruhusu mchezaji huyo kuondoka na walikuwa tayari kugharamia nusu ya pauni laki moja kama marupuru yake ya kila wiki .
Lakini walikataa masharti hayo kwa kuwa West Ham ni wapinzani wao wa moja kwa moja

Related

Sports 5788882623479079259

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item