jaridahuru

Mitandao

SOKA ULAYA: MATOKEO YA MECHI ZA JANA JUMAMOSI KATIKA LIGI MBALI MBALI ULAYA, LIVERPOOL YAGONGWA 3:1 NA WESTHAM




Liverpool imeambulia kichapo chake cha tatu katika mechi 5 za ligi kuu ya premia ya Uingereza huko Upton Park.

Washindi hao wa pili msimu uliyopita walitarajiwa kuwalaza West Ham lakini wenyeji hao hawakutaka kuwapisha.

Winston Reid alifungua kichapo hicho kwa bao la kwanza kunako dakika ya pili tu ya mechi hiyo kisha Diafro Sakho akafunga la pili katika dakika ya Saba .

Kuanzia hapo Vijana wa Brenda Rodgers hawakuwa na jibu dhidi ya Sam Allardyce hadi dakika ya 26 Raheem Sterling alipoifungia Liverpool bao la kufutia machozi.

Hata hivyo The Hammers hawakuwa wamekamilisha kivuno hicho kwani Morgan Amalfitano alimhakikishia Sam Allardyce alama tatu muhimu na ushindi wa kwanza kwa mashabiki wa Upton Park.

West Ham ilikuwa imeshindwa katika mechi zake za kwanza uwanjani Upton Park na mashabiki walitarajia kupoteza alama zingine.

Kipa wa West Ham Adrian aliibua hamaki za Mario Balotelli, na kupelekea muitaliano huyo machachari kupewa kadi ya njano.

MATOKEO MENGINE









Related

CURLING: VAN GAAL WA MAN U ADAI ALITEGEMEA KIPIGO WALICHOPATA CHA 4:0 USIKU WA JUMANNE

Mshambuliaji Javier Hernandez Chicharito kulia wa Man United akigombea mpira na beki wa MK Dons Kocha wa Manchester United, Louis van Gaal amesisitiza kuwa “hakushtushwa kamwe” kwa kiko...

UEFA: SANCHEZ AIPAISHA ARSENAL KUINGIA HATUA YA MAKUNDI BAADA YA KUPACHIKA GOLI LA KWANZA ARSENAL.

Mchezaji kutoka chile aliyekuwa akikipiga Barcelona na kununuliwa Arsenal Alexis Sanchez, ameipa timu ya Arsenali nafasi ya kuingia hatua ya makundi katika klabu bingwa ulaya baada ya kucheka na...

KAGAME CUP-RWANDA 2014: SAFU ROBO FAINALI YAKAMILIKA, MECHI KUCHEZWA JUMANNE NA JUMATANO

Rayon FC Mechi za Makundi za Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Kagame Cup, yanayoendelea huko Kigali, Rwanda zimekamilika hii Leo na safu ya Robo Fainali kutimia. Robo Fa...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item