jaridahuru

Mitandao

BUNGENI: SPIKA WA BUNGE LA JAMHURI YA TANZANIA, ANNA MAKINDA, AFUNGUA RASMI GYM YA BUNGE

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akikata utepe kuashiria kufunguliwa rasmi kwa Gym ya Mazoezi katika Viwanja vya Bunge. Gym hiyo itatumiwa na Wabunge , Wafanyakazi pamoja na Wananchi wa Nje watakaopenda kufanya mazoezi kwa lengo la kuboresha afya zao za Miili yao. Pembeni ni Mkurugenzi wa Gym hiyo Ndg. Omar Ige.


Muonekano wa Jengo litakalo na GYM ya Bunge kwa nje katika viawanja vya Bunge.

Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiangalia baadhi ya wananchi waliofika kufanya mazoezi katika GYM ya Bunge baada ya kuizindua rasmi katika viawanja vya Bunge. Kulia ni mfanyakazi wa GYM hiyo Ndg. Ekarist Liheta akitoa maelezo kwa Mhe. Spika.


Spika akipima uzito kabla ya kujisajiri katika GYM hiyo.

Mkurugenzi wa GYM hiyo Ndg. Omar Ige akimkabidhi Mhe. Spika vifaa vya mazoezi tayari kwa kuanza mazoezi.
Meneja wa GYM hiyo Bi. Suzan akitoa neno la Shukrani kwa uongozi wa Bunge pamoja na Spika baada ya Ufunguzi rasmi.

Related

Habari Kuu 5728081898251375063

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item