jaridahuru

Mitandao

TANZIA: WIZARA YA KILIMO YAPOTEZA WATUMISHI 5 KWENYE AJALI YA BARABARANI MANYONI

Watu watano wanadaiwa kupoteza maisha katika ajali ya Gari ndogo, ya Wizara ya Kilimo na Chakula, iliyokuwa imebeba wataalamu wanne pamoja na dereva wote wamefariki papo hapo katika eneo la Njirii Manyoni mkoani Singida leo Jumapili Oktoba 21,2018
.

  Inaelezwa kuwa wanaume ni watatu na wanawake wawili. 

TANZIA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo anapenda kuwataarifu ya kuwa Wizara ya Kilimo imepatwa na msiba wa Watumishi wake Watano (5) waliopata ajali leo asubuhi tarehe 21 Oktoba, 2018 Manyoni mkoani Singida, walipokuwa safarini kuelekea Mwanza kikazi.

 Watumishi hao waliofariki ni;
1. Stella Joram Ossano (39)
2. Esta Tadayo Mutatembwa (36)
3. Abdallah Selemani Mushumbusi (53)
4. Charles Josephat Somi
5. Erasto Mhina (43)
Miili ya marehemu ipo njiani kuja Hospitali ya Mkoa wa Dodoma leo tarehe 21 Oktoba 2018.

Mungu azilaze roho zao mahala pema peponi, Amina🙏🏿

Related

KITAIFA: TAARIFA MUHIMU KUTOKA MAMLAKA YA HALI YA HEWA (TMA), USIPUUZIE KUWA MAKINI UKIWA BEACH

Tafadhali pokea tahadhari ya Upepo mkali pamoja na mawimbi makubwa katika maeneo yote ya ukanda wa pwani kuanzia tarehe 09 mpaka 12 July 2014.  ------------------------------- Ple...

KITAIFA: MAGUFULI AWAWAKIA MAOFISA WA TANROADS WANAOHUJUMU TAIFA KWA KULA RUSHWA

Mwanza. Waziri wa Ujenzi, Dk John Magufuli amewajia juu maofisa wa Wakala wa Barabara (Tanroads) mkoani Mwanza baada ya kubaini wanataka kulipa fidia ya zaidi ya Sh100 milioni kutokana na uam...

KITAIFA: MAALIM SEIF ATAKA MAZUNGUMZO KATIBA MPYA, ASEMA ITAKUWA HASARA KWA TAIFA IWAPO KATIBA MPYA HAITAPATIKANA

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amesema Serikali imeshatumia fedha nyingi za wananchi kwenye mchakato wa kuandaa Katiba mpya, hivyo kitendo cha kushindwa kukami...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item