jaridahuru

Mitandao

KIMATAIFA: ISRAEL YASEMA ITAJILINDA NA KIKUNDI CHA HAMASS, YASEMA ITALISABARATISHA KUNDI HILO

Waziri mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema Israel inatakiwa kujiandaa kwa ajili ya mpango wa muda mrefu katika Gaza.

Hata hivyo ameelezea msimamo wake dhidi ya kundi la wapiganaji wa Hamas. Netanyahu amesema Hamas wanapaswa kusambaratishwa na hilo ndilo lengo la Israel.

‘Tulijua kuwa tungekuwa na siku ngumu, hii ni siku ngumu na ya maumivu kutokana na mashambulizi haya, nguvu na malengo vinatakiwa ili kuendeleza mapambano dhidi ya kundi hilo, anasisitiza Netanyahu.

Wizara ya afya ya Gaza imesema kuwa raia 10 wa palestina wameuawa katika shambulio la makombora yaliyolenga uwanja wa mpira yakitekelezwa na Israel..
Kati ya waliouawa katika shambulio hilo ni watoto saba waliokuwa wakicheza uwanjani hapo ambapo walipigwa na kufa papo hapo.

Hamas imeilaumu Israel kwa shambulio hilo,huku msemaji wa Israel akidai kuwa shambulio hilo lilitekelezwa kwa bahati mbaya.

Related

BREAKING NEWS: GOROFA LINGINE LAANGUKA HUKO HURUMA JIJINI NAIROBI NAKUUA TENA

Katika hali ya sintofahamu, Gorofa lengo orofa 7 lililokuwa Huruma mjini Nairobi limeanguka na watu kuhofiwa kuwa wamefunikwa na vifusi. Hadi sasa inasemekana umepatikana mwili wa mtu mmoja . ...

UGANDA: YULE MSICHANA WA KAZI KATILI ALIYEMJERUHI MTOTO HUKO UGANDA APATIKANA NA HATIA..SOMA HUKUMU YAKE HAPA

Yaya wa Uganda ambaye alinaswa kwa kanda ya video akimchapa na kumkanyaga mtoto mdogo amepatikana na hatia ya ukatili. Atafikishwa mahakamani tarehe 15 Jumatatu Disemba kupokea hukumu . J...

KITAIFA: CHINA YABAINIKA KUONGOZA KWA KUZALISHA VIFAA VYA MATESO KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI

Vifaa vya mateso vinavyotumiwa na vikosi vya polisi duniani. Makampuni nchini China yameingia katika shutuma kali kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item