jaridahuru

Mitandao

TECHNOLOJIA: JIFUNZE JINSI YA KU 'UNLOCK' MODEM YAKO. (KISWAHILI)




Inawezekana umejiuliza kwa mara nyingi ni jinsi gani unaweza kutumia line za mitandao yote katika modem yako bila kupata jibu.

Usijali, leo Jarida Huru inakupa uwezo wa kujifungulia modem yako bila wasi wasi, ni rahisi sana tafadhali fuata maelekezo kwa usahihi.

Kwanza utahitaji:

  1. Kompyuta
  2. Modem iliyofungwa
  3. Line ya simu batili yani ambayo haikubali kusoma mtandao katika modem yako
  4. Modem
  5. Programu ya DC Unlocker Client. (Download hapa
Ainia utakazoweza Kufungua kwa njia hii ni;

Huawei E367

  1. E367u-1_1G
  2. E367u-2_1G
  3. E367u-6_1G
  4. E367u-8_RFMD
  5. E367u-8_AVAGO

Huawei E353

  1. E353u-1_1G
  2. E353u-2_1G
  3. E353u-6_1G


Ngazi:

  1. Pekua na Install hiyo programu kwenye compyuta yako.

Fungua faili fungate (zip file) ya dc-unlocker_client-1.00.0597_2.exe.            
2. Weka laini batili ya simu kwenye modem yako kisha ichomeke kwenye kompyuta yako.


3.  Tambua COM PORT kwa kutumia DC Unlocker kwa kubofya 'Find com port'



4.   Ingia katika Menyu ya 'Operation --> Unlock --> Kisha chagua modem yako.



5. Hureee!! Umeweza Ku unclock modem yako.

Ikiwa utapata shida, usisite kuomba msaada hapa katika comment. na ikiwa umefurahia pia onesha upendo kwa ku 'Share na Kulike hili funzo. 

Pia Ikiwa utahitaji funzo lingine pia usione tabu ku 'comment' unacho hitaji.

Related

TEKNOLOJIA: JE UNAFAHAMU KAMA TAARIFA ZAKO ZA MATUMIZI YA SIMU ZIKO SALAMA? JE MITANDAO YA SIMU INA USIRI?

Ukikutana na Watanzania 10 angalau nusu yao watakuwa na kifaa au vifaa vya mawasiliano kama  simu na kompyuta. Vifaa hivi vimesajiliwa kwa majina yao na taarifa zao nyingine ambazo zinawez...

TEKNOLOJIA: TCRA YAONYA WANAOWADHALILISHA WENZAO KWENYE MTANDAO, YAAHIDI KUWAFIKISHA MAHAKAMANI

MAMLAKA ya mawasiliano nchini ,TCRA, imewaonya wale wote wanaotumia mitando kuchafua na kudhalilisha watu waache mara moja vinginevyo watakabiliwa na mkono wa sheria.   Onyo hilo limet...

TEKNOLOJIA: INSTAGRAM YAPIGA 'BAN' PICHA ZA UTUPU, YAONYA KUWAFUTA WANYE KUTUMIA PICHA HIZO

Mmoja wa waasisi wa mtandao wa kijamii wa Instagram, amesema kuwa sheria zake kuhusu picha za uchi hazimbagui mtu yeyote. Kampuni hiyo imekosolewa vikali kwa kwa kuondoa picha za wanawake walio...

Post a Comment

  1. mr!. Ebwana naomba msaada wa Ku unlock modem yangu isome mitandao yote. Kwa sasa imefungwa na airtel pekee.
    Model: E3531
    IMEI: 864712023351229
    HUAWEI

    Mawasiliano yangu
    pawaga83@gmail.com

    Unafanya bei gani

    ReplyDelete

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item