JAMII: AJABU! MIILI YA WATU ILIYOKAUSHWA NA KUTIWA KWENYE MIFUKO YAPATIKANA HUKO BUNJU

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/07/jamii-ajabu-miili-ya-watu-iliyokaushwa.html
Mmoja ya Kiungo cha Mguu
Baadhi ya Mifuko ambamo Maiti izo zilikuwa zimewekwa

Gari likiwa limebeba mifuko yenye viuongo hivyo, ambapo Jeshi
la Polisi wilaya ya Kinondoni limesema kuwa limeanza uchunguzi wa kina
baada ya kukakamata viungo mbalimbali vinavyodhaniwa kuwa ni vya
binadamu katika mifuko ya plastiki katika machimbo ya kokoto sehemu za
Mbweni Mpiji, Magohe, nje kidogo ya jiji la Dar es salaam.

Sehemu
ya mifuko ya plastiki iliyokutwa na viungo hivyo ambavyo inasemekana ni
pamoja na mikono, miguu, ngozi na sehemu nyingine za miili
Umati wa watu wakiwa wanashuhudia tukio hilo muda huu
Watu zaidi wakiwa wanaongezeka katika eneo la Tukio
Mpaka
tunaondoka eneo la Tukio Miili ilikuwa imechukuliwa na Jeshi la Polisi
kwa Uchunguzi zaidi, Taarifa kamili italetwa na Kamanda wa Polisi Mkoa
wa Dar es salaam.
Endelea kufuatilia hapa.