KENYA: MAUAJI MENGINE YA WATU WANNE HUKO KENYA YAWATISHA ZAIDI WAKAZI WA MOMBASSA

Mji huo wa Bandari umeshuhudia ghasia katika miezi ya hivi karibuni huku kukiwepo mashambulio ya mabomu na ufyetuaji wa risasi ambayo wanamgambo wa alshabaab kutoka Somalia wanatuhumiwa kuyatekeleza.