jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: WEMA AFUNGUKA HISIA ZAKE KWA DIAMOND, ASEMA WANAPENDANI HADI WAMEPITILIZA



Wema Sepetu amesema uhusiano wake na Diamond Platnumz kwa sasa ni imara kwakuwa wamepitia mambo mengi pamoja yaliyowafunza mengi.

Akiongea na Bongo5 hivi karibuni akiwa jijini Durban, Afrika Kusini alikoenda kuhudhuria tuzo za MTV MAMA, Wema alisema hakuna ambacho hawajawahi kukupitia katika uhusiano wao ulioanza tangia mwaka 2014.


“Tumeexperiance good time together, bad time together, sad time, happy times. Sasa hivi tumefika point tumetulia. Tumeshaumizana, yeye kashaniumiza, mimi nilishamuumiza kwahiyo imefika point tumetulia. What we are looking for is just to make our future better na ndio maana you can see tunasapotiana kwenye vitu vingi kwasababu tayari nimeshajua kwamba he is my man, am his woman,” alisema Wema.

“Kitu ambacho kinaspice up the relationship ni kwamba tuna true love for each other, tunapendana mpaka tumepitiliza,” aliongeza.



Credit: BONGO5

Related

BURUDANI: OMMY DIMPOZ ATOA KAULI NZITO KUHUSU BET BAADA YA DIAMOND KUAMBULIA PAKAVU, ASEMA BET NI WABAGUZI

Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutol...

BURUDANI: DAVIDO AMPIGA CHINI TENA DIAMOND TUZO ZA BET, DIAMOND AANDIKA UJUMBE MZITO KWA SUPPORTERS WAKE

Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya mo...

BURUDANI: PICHA KALI 6 ZA DIAMOND PLUTNUMZ AKIWA KATIKA AMSHA AMSHA ZA B.E.T AWARDS L.A

Diamond yupo L.A Marekani kwa ajili ya tukio la utoaji wa tuzo za B.E.T ambapo yupo kwenye category ya Best African Act. Hizi ni picha 6 na video moja akiwa huko Los Angeles  na kwenye hii vi...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item