jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: OMMY DIMPOZ ATOA KAULI NZITO KUHUSU BET BAADA YA DIAMOND KUAMBULIA PAKAVU, ASEMA BET NI WABAGUZI

Stori kubwa inayoongelewa kuhusu tuzo hizi za BET 2014 ambazo kwenye kipengele cha tuzo inayotolewa kwa msanii/kikudi cha Afrika Diamond Platnumz pia alichaguliwa kushiriki, ni tuzo hiyo kutolewa saa kadhaa kabla ya zile tuzo za wasanii wa Marekani kutolewa…. yani kwa ufupi hafla ya utoaji wa tuzo hizi haitoi nafasi kwa tuzo ya Afrika.Kwenye exclusive interview na millard, Diamond amesema ‘tuzo ya Afrika imetolewa saa mbili asubuhi wakati tuzo za kina Chris Brown, Beyonce na wengine wakubwa zinatolewa saa kadhaa baadae usiku, Waafrika wanawekwa peke yao ila ingekua poa kama wangekua wanatoa tuzo ya Afrika palepale kama wasanii wa Marekani, ingesaidia kuunyanyua muziki wa Afrika’
 Miongoni mwa waliotoa yao ya moyoni ya kutofurahishwa na utolewaji huu wa tuzo ya Afrika kivyake na kutojumuishwa na zile za wasanii wa Marekani ni msanii Ommy Dimpoz.

Related

Habari Mpya 6498364051213306945

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item