jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: DAVIDO AMPIGA CHINI TENA DIAMOND TUZO ZA BET, DIAMOND AANDIKA UJUMBE MZITO KWA SUPPORTERS WAKE

Dakika kadhaa baada ya mshindi wa tuzo ya BET 2014 kwa wasanii wa Afrika kutangazwa kuwa Davido wa Nigeria, staa kutoka Tanzania Diamond Platnumz aliekua anawania pia tuzo hiyo ameandika ya moyoni kwa watu wake.Tusipopenda kukubali matokeo na ushindi wa wenzetu basi daima hatutaweza kuwa

washindani, muhimu ni kujua wapi tulipotoka na wapi tulipo leo, katika nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya milioni 40 kuchaguliwa Tanzania ni fursa, heshima na hatua kubwa, cha muhimu ni kuitumia vyema fursa hii na kuhakikisha mwakani tunapiga hatua, asante sana kwa wote wanaozidi kunisupport’
Screen Shot 2014-06-29 at 9.45.57 PM

Related

Michezo 3129931067624613254

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item