jaridahuru

Mitandao

TANZIA : Balozi wa Malawi Nchini Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga amefariki dunia


Aliyekuwa Balozi wa Malawi Nchini Mhe. Flossy Gomile-Chidyaonga alifariki dunia jijini Dar es salaam baada ya kuugua kwa muda mfupi jana.

Mhe. Flossy ambaye alikuwa naibu balozi katika ubalozi wa nchi ya malawi nchini uingereza toka mwaka 2006 aliletwa kuwa Balozi nchini hapa mwaka 2011 na amekuwa mtumishi katika wadhifa huo hadi mauti inamkuta.

Mipango ya mazishi itapangwa na tutakujulisha kadri taarifa zitakavyo tufikia.

Jarida Huru inatoa Pole kwa familia ya Marehemu, Nchi ya Malawi, Tanzania na Dunia yote kwa ujumla kwa kuondokewa na Kiongozi huyo shupavu.

Related

KITAIFA: LOWASSA AIBUKA NA MSIMAMO MPYA, AIZUIA JWTZ KUCHUKUA ARDHI YA WANANCHI, AWAPA SIKU 7 TU KUIRUDISHA

Mbunge wa monduli na waziri mkuu mstaafu. Mhe. Edward Lowassa Monduli. Waziri mkuu wa zamani, Edward Lowassa ameipa wiki moja Halmashauri ya Wilaya ya Monduli kuzipatia ardhi kaya 63 za Kijiji ch...

KITAIFA: SERIKALI YAPIGA 'STOP!' MIKUTANO YA KATIBU WA ITIKADI NA UENEZI CCM, NAPE NNAUYE

Mtwara. Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye ameonja chungu ya uamuzi wa Serikali wa kusitisha mikutano ya hadhara katika mikoa ya Lindi na Mtwara baada ya kushindwa kufungua mashi...

KITAIFA: BAADA YA HABARI ZA KUIPIGA CHINI TANESCO, UMEME WAKATIKA GHAFLA NCHI NZIMA, WANANCHI WAHOJI

  Hali ya sintofahamu imeikumba nchi ya Tanzania baada ya umeme kudaiwa kukatika kwa nchi nzima, taarifa hizi ambazo sio rasmi zinahusishwa na ukweli kuwa shirika hilo liko katika harakati za kug...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item