Mumo left and
Maria: it was not clear what secret mission they had by concealing their
actual purpose of visiting the EAC country, Tanzania.
The Tanzanian Immigration and Media Authorities have...
Watu
watano wanadaiwa kupoteza maisha katika ajali ya Gari ndogo, ya Wizara
ya Kilimo na Chakula, iliyokuwa imebeba wataalamu wanne pamoja na dereva
wote wamefariki papo hapo katika eneo la N...
Dar es Salaam. Watu waliomteka mfanyabiashara maarufu nchini, Mohammed Dewji ‘Mo’ wamemwachia bilionea huyo katika mazingira yanayofanana na yale waliyomteka, tukio linaloonyesha ustadi na u...
Baada ya sekeseke la hivi majuzi kuwa madereva wa Tanzania wanapaswa kutembea na vyeti vyao vya shule ya udereva kwenye magari na kuibui hisia za watu wengi kuhusu uhalali wa kisheria wa hatua hiy...
YAMOTO BAND COMFIRMED will performing all their major hits including NITAJUTA, NISEME, WAMBEA, NITAKUPWELEPWETA and many more @ The Royal Regency Banquet Hall, Sat 21 Feb 2015 From 8pm to 3:30am, there are limited VIP Tables available book yours now for ultimate VIP treatment or individual place your booking early to avoid disappointment. Table bookings please call 07405824696/ WhatsApp +447557304940 info@bongodeejays.com or jestinageorge@gmail.com
Ukumbi wa Royal Regency ndio sehemu pekee ambayo utawaona YAMOTO BAND kwenye jiji la LONDON usiku wa 21. Feb 2015
Usiku wa tarehe 21 February 2015 The Royal Regency patakuwa hapatoshi. Kwa kuondosha usumbufu wahi ticket yako mapema Kiingilio ni: £25 kwa Ticket ya kawaida £35 kwa VIP ticket
Kama Unahitaji VIP table for 10 people piga simu 07405824696 kwa maelezo zaidi au tuma email kwenda: info@bongodeejays.com
YAMOTO BAND will be alongside supported artist such as Sultan King, OJ, Hyper hype And many more,why wait grab your ticket Now!!!!
Kombe la Dunia ni uwanja mpana. Ni mahali ambapo vipaji na vipaji vya
wanasoka duniani huonekana. Madalali wa kuvumbua na kununua wachezaji
[scouts] hufurika kwenye mashindano kama haya wakijua...
Kikosi cha Taifa Stars ambacho jana (Juni 1 mwaka huu) kiliitupa
Zimbabwe (Mighty Warriors) nje ya michuano ya Afrika baada ya kutoka
sare ya mabao 2-2 kinarejea nchini leo (Juni 2 mwaka huu) k...
Mchezaji bora duniani mwaka huu Cristiano Ronaldo na
mshambulizi aliyegharimu kitita kikubwa zaidi duniani Gareth Bale
watakuwepo katika timu ya Real Madrid itakayochuana na Atletico Madrid
kat...