jaridahuru

Mitandao

TAMKO LA DUCE KUHUSU WANAFUNZI WAO WALIOHUSIKA KATIKA KIPIGO MBEYA DAY


Image result for duce udsm

TAMKO LA CHUO KUHUSU VITENDO WA UKATILI
VINAVYOHUSISHWA NA WANACHUO WETU
Mkuu wa Chuo, uongozi na jumuiya ya DUCE tumesikitishwa na taarifa ya vitendo vya ukatili vinavyohusishwa na Wanachuo wetu watatu (3) waliokuwa kwenye mafunzo kwa vitendo mkoani Mbeya, katika Shule ya Sekondari ya Kutwa Mbeya.
Kutokana na taarifa hizo, Chuo kinalaani vitendo vya ukatili vya namna hiyo kwani havikubaliki katika jamii na ni uvunjaji wa Sheria za Nchi, Chuo na nhaadili ya taaluma ya ualimu.
Aidha, Chuo kinaunga mkono hatua zilizokwishachukuliwa na kinashirikiana na vyombo vya Serikali kuchukua hatua nyingine stahiki katika kulishughulikia suala hili.

Prof. Wiliam AOL. Anangisye

MKUU WA CHUO

Related

Habari Mpya 2110595931161128190

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item