TANZIA: KATIBU WA UMOJA WA VIJANA WA CCM (UVCCM) AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/12/tanzia-katibu-wa-umoja-wa-vijana-wa-ccm.html
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEis4dVYPiQcBEMVPCGL9y7xlQWdV3tS_QXIhBPzTZyxYNHztl3MeQ-n0nBaE6BNpfddHyVKS5uvOmkKOSP52m20WRpxoA7CVHiOkBZF-VNQ7q4-6fAA3rGmeI6aHbodNHVXXoN5z4hGSgSw/s640/10671229_947072891986888_1214725897795206556_n.jpg)
Mwenyekiti wa CCM mkoa, Onesmo ole Nangole alisema kuwa ajali hiyo ilitokea eneo la Kimba, Ngorongoro na kuwataja waliojeruhiwa kuwa ni pamoja na Katibu wa Uvccm mkoa, Mwajuma Rashid na dereva wao, Omar Mzava.
Chanzo: Mwanachi