jaridahuru

Mitandao

KITAIFA: CHINA YABAINIKA KUONGOZA KWA KUZALISHA VIFAA VYA MATESO KULIKO NCHI YOYOTE DUNIANI

Vifaa vya mateso vinavyotumiwa na vikosi vya polisi duniani.
Vifaa vya mateso vinavyotumiwa na vikosi vya polisi duniani.

Makampuni nchini China yameingia katika shutuma kali kua wanatengeza na kusafirisha vifaa vya mateso kwa vikosi vya polisi duniani.

Aidha, Shirika la kutetea haki za binaadamu Amnesty International limetoa taarifa kuwa makampuni yapatayo mia moja na thelathini nchini humo, kati yao wamekiri kutengeneza vifaa hivyo ikiwemo vibanio vya umeme, viti vya umeme, na pingu za vidole gumba.

Inasemekana vifaa vingi japo hutengenezwa na kusafirishwa, vingi matumizi yake ni katika kuleta maumivu mwilini na mateso.

Shirika hilo la kutetea haki za binadamu lina mashaka na nchi zenye ukiukwaji mkubwa wa haki za binaadamu hasa Africa na Kusini Mashariki mwa Asia wao ndio wateja wakuu wa vifaa hivyo.

Related

Kimataifa 5446629583591617582

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item