FILAMU: FILAMU YA LUCY YAONGOZA KWA MAUZO MAREKANI
![](https://resources.blogblog.com/img/icon18_edit_allbkg.gif)
https://jaridahuru.blogspot.com/2014/08/filamu-filamu-ya-lucy-yaongoza-kwa.html
Muigizaji maarufu aliyecheza filamu ya ‘LUCY’ Scarlett Johansson amezidi kutishia mauzo ya filamu Duniani baada ya kuongoza kwa mauzo nchini Uingereza na Ireland kwa kuuza paundi 3m huku ikifuatiwa na The Inbetweeners 2 ikiuza £2.37m na ya tatu ni Marvel’s Guardians of the Galaxy ambayo imeongozwa na staa Chris Pratt.Filamu ya “LUCY” imeuza $216.8m Duniani kote.