jaridahuru

Mitandao

NEW VIDEO: VIDEO MPYA YA VICTORIA KIMANI FT DIAMOND & OMMY DIMPOZ YATOKA. ITAZAME HAPA

Victoria-Kimani

Muimbaji mahili kutoka Kenya, Victoria Kimani ameachia video ya wimbo wake ‘Prokoto’ aliowashirikisha wakali kutoka Tanzania, Diamond na Ommy Dimpoz. Video hiyo imetengenezwa na kampuni ya ‘Chocolate City’s’. Itazame hapa….





Related

BURUDANI: DIAMOND AMVISHA WEMA PETE YA UCHUMBA, MAMBO YAFANYIKA KWA SIRI, WEMA AMSHUKURU MTABIRI WAKE

Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu (25) akionyesha pete aliyovishwa na Diamond.   Wema Isaac Sepetu (25) ameibua viulizo baada ya kuonekana akirandaranda na pete ya ndoa kidoleni ikida...

MICHEZO: TAIFA STARS KUIVAA MAMBAS YA MSUMBIJI UWANJA WA TAIFA JUMAPILI TAREHE 20/07/2014

KIKOSI cha timu ya soka ya Taifa (Taifa Stars), kimerejea jijini Dar es Salaam jana kutoka Mbeya ambapo Jumapili hii kitapambana na Msumbiji (Mambas) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. ...

USAJILI: ARSENAL YAKAMILISHA USAJILI WA DUBUCHY KUZIBA PENGO LA SAGNA

    Tangazo: Arsenal imetoa tangazo la usajili mpya    KLABU ya Arsenal imemsajili beki wa kulia wa kimataifa wa Ufaransa, Mathieu Debuchy kutoka Newcastle wakati Washik...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item