
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,(kulia) akitoa
maelezo kwa Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa jinsi mashine
mpya ya Ceragem V3 inavyofanya kazi , wakati wa uzinduzi wa mashine hiyo
inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali
bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa
Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini .

Mzee
Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa
wakifunua kitambaa, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3
inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali
bila ya mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa
Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,pamoja nao katika picha
ni Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa,Mkurugenzi wa Kampuni ya
Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, na Patricia Mndolwa.

Mzee
Fransis Kavishe na Bi Ashura Salum,wanaosumbuliwa na ugonjwa wa kansa
wakikata utepe, kuashiria uzinduzi wa Mashine mpya ya Ceragem V3
inayotumia teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali
bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem
vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini,Pamoja nao katika picha ni
Mkurugenzi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo,
Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa.

Baadhi
ya Wagonjwa na wafanyakazi wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki
wakifuatilia hotuba ya Uzinduzi waMashine mpya ya Ceragem V3 inayotumia
teknolojia ya hali ya juu katika kutibu magonjwa mbalimbali bila ya
mgonjwa kumeza dawa au kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa Ceragem
vilivyopo sehemu mbalimbali nchini.

Mkurugenzi
wa Kampuni ya Ceragem, Africa Mashariki, Nam Chae Woo, akizungumza na
baadhi ya wagonjwa na wafanyakazi wa Dafa Ceragem wakati wa Uzinduzi wa
Ceragem V3 inayotumia Teknoloji ya hali ya juu katika kutibu Magonjwa
mbalimbali bila kumeza dawa wala kuchomwa sindano katika vituo vya Dafa
Ceragem vilivyopo sehemu mbalimbali hapa nchini.Katika picha kutoka
kushoto, Patricia Mndolwa, Mkurugenzi wa Dafa Ceragem, Edmund Mndolwa,
na Mgeni Mualikwa Bi. Lydia Mushumbusi.