jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: KOLABO YA DIAMOND, KHADIJA KOPA NA ALLY KIBA MBIONI KUTOKA, YALENGA KUCHANGANYA LADHA YA MUZIKI


MALKIA wa mipasho nchini, Khadija Kopa, amesema katika kuchanganya ladha ya muziki kwa wapenzi wake, amepanga kufanya kolabo na wasanii wa muziki wa kizazi kipya, wakiwemo Alikiba na Diamond Platinumz.

Mbali ya hao, Kopa alisema pia anakusudia kufanya kazi na wasanii wengine kama, Ommy Dimpoz, Chid Benz na Cassim Mganga ili kuendelea kuwashika mashabiki wa kazi zake.

Akizungumza jijini Dar es Salaam juzi, Kopa alisema anachosubiri ni kwisha kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kabla ya kugeukia kazi hizo ambazo tayari ameanza maandalizi yake.
Aidha Kopa alisema yupo katika hatua za mwisho za maandalizi ya albamu zake mbili ambazo pia atazisambaza baada ya kwisha kwa mwezi huu.

“Nipo katika michakato ya kutoa albamu zangu mbili; moja inajulikana kwa jina la ‘Lady with Confidence’ na ‘Kantangaze akutangaze nani wakati hata mtaa wa pili haujulikani,” alisema.

Msanii huyo nguli anawasihi wapenzi wake wakae mkao wa kula kwa ajili ya kupokea kazi hizo ambazo anaamini zitafanya vizuri kutokana na maudhui yaliyomo na ujumbe wake.

Related

WORLD CUP: UFAHAMU 'BRAZUCA' MPIRA UTAKAO TUMIKA KATIKA KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL (KISWAHILI)

Unaikumbuka Jabulani? kumbe mfuatiliaji mzuri au sio? zikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa kombe la dunia 2014, leo Jarida Huru inakuletea Adidas Brazuca ambao ndio Mpira rasmi wa Kombe la dunia ...

MICHEZO: MANJI ACHOMOZA TENA NA LINGINE

BAADA ya kimya cha muda mrefu, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameibuka na kuzungumzia mambo kadhaa ya klabu hiyo, akibariki kuondoka kwa wachezaji wawili nyota, Didier Kavumbagu na Fran...

EPL: MAN CITY BINGWA 2013/2014

Baada ya kufanya vibaya katika ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League) Kocha Manuel Pellegrini Amewainua tena Mashabiki wa timu yake kwa Kunyakua Kombe la Ubingwa wa English Premier League alimaa...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item