jaridahuru

Mitandao

JAMII: SAKATA LA MUME WA FLORA MBASHA LAMGEUKIA GWAJIMA, AUZA MALI ZAKE NA KUIKIMBIA NCHI

MBASHA akiwa na Mkewe FLORA

MBASHA akiwa na Mkewe FLORA

Kufuatia  sakata  la  Flora  Mbasha  na  mumewe  likumuhusisha  moja  moja  kiongozi  wa  kiroho  Mchungaji  Gwajima, habari  tulizozipata  ni  kwamba  mchungaji  huyo  amekimbia  nchi….

 

Habari  toka  chanzo  cha  kuaminika  kilichopo  ndani  ya  kanisa  la  mchungaji  huyo  ni  kuwa  Gwajima  hivi  sasa  ameshauza  karibia  robo  tatu  ya  mali  zake  na  kwamba  moja  kati  ya  magari  yake  ya  kifahari  huenda  likanunuliwa  na  mwanamuziki  Diamond.
 
 “Jamaa  hivi  tunavyoongea  anaweza  akawa  ameshatoroka  tayari, maana  hili  sakata  limeanza  kumwendea  hovyo  na  wiki  iliyopita  kuna  madalali  walikuja  hapa  wakiitaka  gari  yake  aina  ya  Hammer, wakidai  kuwa  inataka  kununuliwa  na  mwanamuziki  Diamond,”  kilisema  chanzo  cha  habari  hii.

Related

Jamii 970036279470869466

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item