jaridahuru

Mitandao

KIMATAIFA: OBAMA AWAKIMBIA WALINZI WAKE WAKE NA KUTOKOMEA MGAHAWANI, WALINZI WAPATA KIWEWE


Raisi wa marekani Barak Obama kwa mara nyingine, ametokea kuvunja sheria zake za kama raisi na kujichanganya na wananchi wa kawaida kama ilvyo tabia yake, hivyo kutokea kuwapa shida walinzi wake. Barack Obama aliwatoroka walinzi wake na kwenda kununua burger katika moja ya migahawa inayotumika na wananchi wa kawaida, tukio hilo lilizua uwepo mkubwa wa ulinzi kwa muda mchache tu..ikiwa hii ni mara ya pili kwa tukio kama hilo kutokea…
Angalia kipande hiki cha video kikionyesha tukio


Related

Kimataifa 7089113799806826128

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item