JAMII: WANAUME WARUHUSU WAKE ZAO KUUZA MIILI, WAUZA MIILI MCHANA HUKU USIKU WAKIHUDUMIA NDOA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-wanaume-waruhusu-wake-zao-kuuza.html
Hivi karibuni kituo cha K24 cha nairobi kilibaini kile ambacho watu wengi kiliwaacha mdomo wazi kuwa, wapo wake za watu wanaofanya shughuli za kuuza miili yao mchana na usiku kurejea nyumbani kwenye ndoa zao.
Kwenye uchunguzi huo wa hatari, waandishi wa kituo hicho walienda kwenye baadhi ya madanguro na kujifanya wateja huku wakiwa na camera zilizokuwa zimefishwa.