BUNGENI: NDEGE ZINAZOVINJARI ANGA LA ZIWA NYASA ZATOLEWA UFAFANUZI, KUMBE ZILITOKEA DODOMA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/bungeni-ndege-zinazovinjari-anga-la.html
![]() |
Dr. Mwakyembe |
Serikali kupitia kwa waziri wa Uchukuzi Dr. Harrison Mwakyembe amewaondoa hofu wananchi hao kwa kusema kuwa Ndege hizo zimekodiwa kutoka Tanzania na zimepata vibali vyote toka mamlaka ya safari za anga TCAA.
Hata hivyo amewapongeza wananchi kwa kuwa makini na tayari kutoa taarifa juu ya usalama wa nchi yao.