jaridahuru

Mitandao

JAMII: TBL YATOA MSAADA WA VIFAA VYA USAFI VYENYE THAMANI YA TSH 15 MILLIONI SIKU YA MAZINGIRA DUNIANI

Mstahiki Meya wa Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa (katikati)akikabidhiwa vifaa vya usafi vyenye thamani ya sh.mil. 15 na Ofisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Dorris Malulu katika hafla iliyofanyika, Ilala, Dar es
Salaam, ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani.

Wafanyakazi wa TBL walishiriki kufanya usafi eneo la Karume, Ilala.
Kushoto ni Meneja  Uhusiano wa TBL, Emma Oriyo.
Meneja wa Uhusiano Mambo ya Nje wa Kampuni ya Bia Tanzania  (TBL), Emma Oriyo
(kushoto) akishiriki na viongozi mbalimbali kufanya usafi, Ilala, Dar es Salaam juzi, katika  maadhimisho ya Siku ya Mazingira Duniani Dar es Salaam.

Related

Jamii 2687762794114377682

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item