BURUDANI: LULU NA JOTI WAFUNGA NDOA, UTATA USIOELEWEKA WAIKUMBA SHEREHE YAO

![]() | ||
Hatimaye Msanii Elizabeth Michael maarufu kama Lulu afunga Ndoa ya Kimya Kimya na Msanii wa Vichekesho Lucas Mhavile maarufu kama JOTI. Ndoa hiyo ya Kimya imefungwa siku chache zilizopita katika fukwe za Kiota cha Maraha cha Escape 1 Mikocheni. |
Mchungaji akiwafungisha Ndoa hiyo ambae pia ana kipawa cha Uchekeshaji na MC aitwaye Mc Pilipili. |