BURUDANI: BAADA YA KUACHIWA HURU, CHRIS BROWN AZIDI KULA BATA NA MPENZI WAKE, AMKANDIA RIHANNA (PICHA)


Katika maongezi, Chris amesema kuwa anampenda mpenzi wake wa sasa na kudai kuwa ni mwanamke wa tofauti mwenye uvumilivu akilinganishwa na mpenzi wake wa zamani, Rihanna.