AFYA: MAADHIMISHO YA WIKI YA MAZINGIRA DUNIANI, WANANCHI WASISITIZWA KUZINGATIA SHERIA ZA MAZINGIRA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/afya-maadhimisho-ya-wiki-ya-mazingira.html
Baadhi ya wananchi na wanafunzi kutoka shule mbalimbali za jiji la Dar es salaam wakiwa kwenye maandamano huku wakiwa wamebeba mabango yenye ujumbe mbalimbali wakati wa kilele cha wiki ya mazingira duiniani leo.
Kikundi cha ngoma za asili kutoka shule ya msingi Umoja kikitoa burudani wakati wa maadhimisho ya wiki ya Mazingira yaliyofanyika katika uwanja wa Mnazimmoja jijini Dar es salaam.
Baadhi ya wafanyakazi na wadau wanaojihusisha na shughuli za usafi na usimamizi wa mazingira jijini Dar es salaam wakiwa na zana zao za kazi wakati wa maadhimisho ya wiki ya Mazingira yaliyofanyika katika uwanja wa Mnazimmoja jijini Dar es salaam