JAMII: KUMBE MDOGO WA FLORA MBASHA ALIWAHI KUJIREKODI MKANDA WA NGONO NA MRISHO NGASA, SIRI YAFICHUKA

https://jaridahuru.blogspot.com/2014/06/jamii-mdogo-wa-flora-mbasha-aliwahi.html
Binti anaedaiw kubakwa na Mumewe Flora Mbasha, Emmanuel Mbasha, Iliwahi kuripotiwa katika gazeti la amani la Jumanne Tarehe 27 Agosti 2013 kuwa alijirekodi akiwa anakula uroda na Mchezaji wa Mpira Mrosho Ngassa.
Hata hivyo habari hizo zenye utata mkubwa, zinaendelea kutikisa vichwa vya habari katika magazeti ya bongo baada ya kudai kuwa ana umri wa miaka 17 tu.
Swali ni kuwa, ikiwa sasa anadaiwa kubakwa, je umri wake kwa mwaka jana ulikuwa unazidi wa sasa? au mrisho ngasa mbona hakuchukuliwa hatua kama ilivyo kwa Emmanuel Mbasha?
Katika tukio lingine, Zimeripotiwa kusambaa kwa rekodi za Bw. Emmanuel Mbasha akimuomba msamaha mrembo huyo (shemeji yake) na haijulikani kama kafanya kama alivyofanya kwa Ngassa yaani kuzisambaza.
Isikilize hapa.