jaridahuru

Mitandao

INFO: SASA UNAWEZA KUSIKILIZA NYIMBO MPYA KATIKA BLOG YAKO YA JARIDA HURU.



Katika kuhakikisha mdau wetu, fan wetu wa nguvu na mpenzi wa nyimbo kali, Jarida Huru inakupa nafasi ya kusikiliza nyimbo mpya katika Blog yako uipendayo ya Jarida Huru. Hii ni katika muendelezo wa kuhakikisha tunakuwa mbele katika nyanja za burudani.

Pia kama wewe ni msanii na una wimbo wako ambao ungependa watu wausikilize, usiogope, underground by underground support, jarida huru inakupa chance ya kuutangaza wimbo wako hapa katika blog yako uipendayo ya Jarida Huru. Afu ujue nini? Huduma hii ni BUREEE!! No Malipo no KUJIUNGA, Just FREEE!!.

Tchaooo!! JH-VOCALIST

Related

JH Newtrax 2561115903472681807

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item