jaridahuru

Mitandao

BREAKING NEWZ: MILIPUKO MIWILI YARINDIMA TENA MJINI NAIROBI


Habari zilizotufikia hivi punde kutoka nchini Kenya ambazo zinasema kwamba milipuko miwili imetokea karibu na Soko kubwa la nguo la Gikomba mjini Nairobi.
Watu kadhaa wameripotiwa kujeruhiwa na kuna hofu ya watu wengine  kupoteza maisha yao hadi sasa.

Hii imetokea siku moja tu baada ya Uingereza kutoa onyo kwa raia wake wanaoishi nchini humo kurejea makwao kwa hofu ya usalama na pia baada ya tahadhari kutolewa ya kutokea kwa mashambulizi ya kigaidi nchini humo.

Gikombaa ni soko kubwa la kuuza nguo ambalo linapakana na mtaa wa Eastleigh ambako wasomali wengi wanaishi na kufanya kazi,endelea kufatilia

Related

Kimataifa 1548314521545648455

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item