jaridahuru

Mitandao

TANESCO YAONYA WANANCHI WANAOJIUNGANIASHIA UMEME!


SHIRIKA la umeme nchini Tanesco mkoa wa Simiyu limewaonya wananchi wanaojiunganishia umeme kiholela waache kufanya hivyo kwa kuwa ni hatari kwa maisha yao.

Meneja wa Tanesco mkoani mhandisi Rehema Mashinji ametoa onyo hilo baada ya kubaini baadhi ya wananchi hususan mafundi gereji kujiunganishia umeme kinyemela na kufanya kazi za kuchomelea vyuma nyakati za usiku.

Mkaguzi wa umeme wa shirika hilo mkoa wa simiyu Tumaini Gagula anelezea namna walivyogundua wizi huo.

Kufuatia shirika hilo kubaini wizi unaofanywa na wafanyabiashara na wananchi wasio na nia njema, tayari limeanza msako wa nyumba kwa nyumba ili kuwabaini wale wote wanaoshiriki kulihujumu shirika hilo kwa kujiunganishia umeme kinyemela.

Related

Kitaifa 7806230766822325825

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item