jaridahuru

Mitandao

BWAWA LA MWANZUGI LAKABILIWA NA UCHAFUZI!

 

BWAWA la Mwanzugi lililopo Wilayani Igunga,ambalo limekuwa likitumika kwa ajili ya matumizi ya binadamu na mifugo linakabiliwa na changamoto kadhaa ikiwemo uvamizi na uchafuzi unaofanywa.

Kutokana na hali hiyo kina cha bwawa hilo kinadaiwa kupungua kutokana na kuingia kwa uchafu na hivyo kuhatarisha mustakabali wake na kuhatarisha maisha ya wananchi ambao wanalitegemea sana Bwawa hilo katika maisha yao ya kila siku.

Meneja wa Sikumu ya uwagiliaji ya Mwamapuli,Robert Lufunga anasema baadhi ya wananchi wanalima jirani na Bwawa hilo na kuhatarisha usalama wake.

Mwenyekiti wa skimu ya Umwagiliaji ya Mwamapuli Edson Ntumo anasema pamoja na changamoto mbalimbali jitihada zinafanyika kulinuru Bwawa hilo.

Bwawa la mwamapuli linatumiwa katika kusambaza maji Mjini Igunga huku pia likitumiwa na mifugo pamoja na wakulima wa skimu ya mwamapuli.

Related

FILAMU: FILAMU YA LUCY YAONGOZA KWA MAUZO MAREKANI

Muigizaji maarufu aliyecheza filamu ya ‘LUCY’ Scarlett Johansson amezidi kutishia mauzo ya filamu Duniani baada ya kuongoza kwa mauzo nchini Uingereza na Ireland kwa kuuza paundi 3m huku ik...

KITAIFA: TUME YA HAKI ZA BINADAMU YAIOMBA SERIKALI KUCHUKUA HATUA KALI DHIDI YA WAUAJI WA ALBINO

Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora(THBUB) imeiomba Serikali kufanya jitihada kubaini wanaofadhili na kutekeleza vifo vya Albino.Kwa mujibu wa Kamishna wa Tume hiyo Ali Hassan Rajab...

SIASA: KIU YA URAIS 2015 YAMPONZA PINDA, JUKWAA LA KATIBA LADAI IMEZOROTESHA UTENDAJI SERIKALINI

Waziri Mkuu Mizengo Pinda ametangaza nia ya kutaka urais mwaka 2015. Kufuatia Waziri mkuu wa Tanzania Mh. Mizengo Pinda kutangaza kuwania Urais mwakani hatimaye jukwaa la katiba limeto...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item