BURUDANI: UMEISOMA ILE TWEET YA FID-Q KUHUSU KUFUNGWA KWA BONDIA CHEKA? ISOME HAPA MAANA!! AISEE UKWELI UNAUMA
https://jaridahuru.blogspot.com/2015/02/burudani-umeisoma-ile-tweet-ya-fid-q.html
Bondia maarufu Francis Cheka alihukumiwa kifungo cha miaka 3 gerezani tarehe 2 feb 2015 na adhabu ya kulipa faini ya milioni moja na laki sita baada ya kupatikana na hatiya ya kumpiga meneja aliekua amemuajiri kwenye Bar yake huko mkoani Morogoro.
Watanzania wamepokea hukumu hii kwa utofauti huku wengine wakisema lilikuwa jambo la kumalizana nyumbani na sio mahakamani, Rap Fid q ametumia twit kuandika ujumba ambao unaonekana kulenga hali iliyomkuta Francis.