jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: JAMANI USANII NI KAZI, HAYA BABU TALE MENEJA WA DIAMOND AYAONGEA YA DIAMOND KWEUPEE..SOMA HAPA


Meneja wa Diamond, Babu Tale amesema kuwa wanampango wa kutoa nyimbo nne mfululizo hadi kufika mwezi wa tatu 2015, zikiwemo za Diamond na zingine alizofanya collabo na wasanii wa nje.

“Huu mwaka tutafanya vizuri kuanzia January mpaka March tunafikiria kutoa nyimbo nne mfululizo ambazo ni za Diamond na zingine ni za watu wa nje ambao wamemshirikisha Diamond. Alisema Tale

Aliongezea kwa kusema Msanii Fally Ipupa ametokea kumkubali Diamond kwahiyo wameamua kuwa Fally na Diamond watatoa wimbo kila mmoja atafanya kwa wakati wake baadaye tutakutana kuandaa video kwenye studio mojawapo kati ya Godfather, Adam, Moe Musa au yeyote Yule ambaye atakuwa tayari kukubaliana na matakwa yetu

Related

MICHEZO: MANJI ACHOMOZA TENA NA LINGINE

BAADA ya kimya cha muda mrefu, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameibuka na kuzungumzia mambo kadhaa ya klabu hiyo, akibariki kuondoka kwa wachezaji wawili nyota, Didier Kavumbagu na Fran...

EPL: MAN CITY BINGWA 2013/2014

Baada ya kufanya vibaya katika ligi ya Mabingwa Ulaya (Champions League) Kocha Manuel Pellegrini Amewainua tena Mashabiki wa timu yake kwa Kunyakua Kombe la Ubingwa wa English Premier League alimaa...

MICHEZO : TBC1, TBC2 Kurusha kombe la dunia 2014

SHIRIKA la Utangazaji la Taifa (TBC), linatarajia kurusha moja kwa moja ‘live’ mashindano ya Kombe la Dunia kwa mechi zote 64 zitakazochezwa nchini Brazil. Michuano hiyo inatarajia kuanza kutim...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item