jaridahuru

Mitandao

UDAKU: AUNT EZEKIEL NA MARTIN KADINDA WABAMBWA WAKIFANYA YAO..WAHAHA KUJIELEZEA


MWANAMITINDO maarufu Bongo, Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wamenaswa chobingo wakiwa katika pozi tata.Tukio hilo lililoibua maswali mengi yasiyokuwa na majibu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita katika Klabu ya 71, Tegeta-Kibaoni jijini Dar kulipokuwa na shoo ya kuukaribisha mwaka iliyoandaliwa na Kampuni ya Endless Fame.
Mwanamitindo maarufu Bongo, Martin Kadinda na mwigizaji Aunt Ezekiel wakiwa kwenye pozi tata.

“Mh jamani huyu Aunt si ana mume? Halafu si ana kibuzi chake kingine? Huyu Martin naye imekuwaje tena,” alisikika jamaa mmoja ukumbini humo.
Alipoulizwa Aunt kuhusu tukio hilo, alisema wamekumbatiana kirafiki tu na si wapenzi.

Related

Habari Mpya 8847982291914304351

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item