jaridahuru

Mitandao

BURUDANI: DIAMOND SASA AWEKEWA "WANTED" NA MASHABIKI UINGEREZA, BAADA YA KUCHUKULIWA FEDHA ZAO NA DIAMONDO KUINGIA MITINI


 

 
Kwa mara nyingine tena, mashabiki wa Diamond Platnumz wameshindwa kumuona akitumbuiza licha ya kumsubiria hadi saa 10 Alfajiri.Awamu hii imetokea jijini London, Uingereza katika show aliyoitangaza kwa kiasi kikubwa kwenye kurasa zake za mitandao ya kijamii. Tofauti na Stuttgurt, Ujerumani ambako mashabiki walifanya uharibifu mkubwa, mashabiki wa London waliamua kuwa wapole tu na kurejea majumbani mwao na hasira walizozimeza vifuani.

saeedderby: I was there brov it was maad trust me, even police got involved with that shit, they had to calm people down untill seven in the morning, people wanted their money back he I’ll pay the price cause he got arrested

Chanzo cha Diamond kutotumbuiza kwenye show hiyo kinaonekana kuwa ni kile kile kama cha Ujerumani wiki kadhaa zilizopita yaani promota kushindwa kumlipa fedha yake. Staa huyo hakuchelewa kumtupia lawama promota wa show hiyo, DJ Rule. Akiweka picha ya promota huyo kwenye Instagram, Diamond ameandika:

Tafadhari ndugu zangu wa UK!!!….kuweni makini sana na promoter huyu (Victor – Dj rule) mnaposikia kaandaa show, party au hafla yoyote…ni vyema kuziepuka na kutohudhuria kabisa kwasababu ni tapeli…. si unajua aisifiae mvua imemnyeshea… basi mie nimeloa kabisa.”

Related

KITAIFA: MMBONGO AKAMATWA NA PESA BANDIA ZENYE THAMANI YA TSH MIL 400, AKIRI KUZINUNUA ISEBANIA KENYA

  JESHI la Polisi mkoani hapa linamshikilia mkazi wa Buzuruga jijini hapa, Zakaria Matiku Werema (35) baada ya kukamatwa akiwa na fedha bandia za Tanzania na za kigeni, ambazo kama zingeku...

BREAKING NEWS: GOROFA LINGINE LAANGUKA HUKO HURUMA JIJINI NAIROBI NAKUUA TENA

Katika hali ya sintofahamu, Gorofa lengo orofa 7 lililokuwa Huruma mjini Nairobi limeanguka na watu kuhofiwa kuwa wamefunikwa na vifusi. Hadi sasa inasemekana umepatikana mwili wa mtu mmoja . ...

SIASA: UTABIRI WA RAIS AJAE WACHUKUA SURA MPYA, ASKOFU MOKIWA NAE ATAJA MAONO YA NANI ATAKUWA RAIS 2015

Askofu Mokiwa akisalimiana na Mhe, Mizengo Pinda WAKATI Tanzania ikitarajia kufanya Uchaguzi Mkuu mwaka huu, Askofu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dayosisi ya Dar es Salaam, Dk Valentino Mokiwa...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item