jaridahuru

Mitandao

VYUONI: CHUO CHA UDOM CHAUNGUA MOTO, MALI ZA WANACHUO NA CHUO ZATEKETEA

Moto Mkubwa umezuka na kuunguza mali za wanafunzi na chuo kikuu cha Dodoma maarufu kama UDOM. Moto huo umezuka katika kitengo cha sanaa na lugha (College of Humanities). 
 
Hata Hivyo chanzo cha moto huo bado hakijajulikana. Tutaendelea kukujuza kwa kadri habari zitakavyotufukia.




Related

Vyuoni 5421595465715853263

Post a Comment

emo-but-icon

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item