jaridahuru

Mitandao

TANZIA: MCHEZAJI TOKA IVORY COAST, TOURE AFARIKI DUNIA

Wachezaji ndugu wa Ivory Coast  Yaya Toure na Kolo Toure wako katika majonzi makubwa ya kuondokewa na mdogo wa Ibrahim Toure. 
 
Taarifa za kufariki dunia kwa ndugu yao huyo wamezipata baada ya mchezo ambao Ivory Coast walichapwa bao 2-1 na Colombia jana Alhamisi. 
 
 Imethibitshwa na chama cha soka cha nchi hiyo leo asubuhi ambayo ilituma salamu za pole kwa ndugu hao. 
 
 
Taarifa ya chama hicho imesomeka
"Kolo na Yaya Toure wamepata msiba wa kufariki mdogo wao Toure Oyala Ibrahim. Taifa zima na ujumbe mzima wa kikosi cha timu ya taifa ungependa kuungana nao kwa kila namna katika kipindi hiki kigumu kwao." 
 
“Rais wa FA ya Ivory Caost na kamati nzima ya utendaji inatangaza kwa masikitiko msiba huu wa familia ya mpira kufuatia kufariki kwa M.Toure Oyala Ibrahim, mdogo wa Toure Kolo Abib na Toure Yaya Gnegneri, ambao umetokea tarehe 19 June katika mji wa Manchester (England).” 
 
Ibrahim amekuwa akiishi nchini Lebanon ambako alikuwa akiichezea klabu ya Al Safa SC katika nafasi ya ushambuliaji.

Related

MICHEZO: HATIMAYE MAN U WAMPATA KOCHA MPYA

Wiki kadhaa baada ya kumtimua kocha David Moyes klabu ya Manchester united wanakaribia kumtangaza kocha wa timu ya taifa ya Uholanzi Louis van Gaal kuwa meneja mpya wa timu hiyo. Mholanzi huyo ...

WORLD CUP: UFAHAMU 'BRAZUCA' MPIRA UTAKAO TUMIKA KATIKA KOMBE LA DUNIA 2014 BRAZIL (KISWAHILI)

Unaikumbuka Jabulani? kumbe mfuatiliaji mzuri au sio? zikiwa zimebaki siku chache kuanza kwa kombe la dunia 2014, leo Jarida Huru inakuletea Adidas Brazuca ambao ndio Mpira rasmi wa Kombe la dunia ...

MICHEZO: MANJI ACHOMOZA TENA NA LINGINE

BAADA ya kimya cha muda mrefu, Mwenyekiti wa Klabu ya Yanga, Yusuf Manji ameibuka na kuzungumzia mambo kadhaa ya klabu hiyo, akibariki kuondoka kwa wachezaji wawili nyota, Didier Kavumbagu na Fran...

Post a Comment

emo-but-icon
:noprob:
:smile:
:shy:
:trope:
:sneered:
:happy:
:escort:
:rapt:
:love:
:heart:
:angry:
:hate:
:sad:
:sigh:
:disappointed:
:cry:
:fear:
:surprise:
:unbelieve:
:shit:
:like:
:dislike:
:clap:
:cuff:
:fist:
:ok:
:file:
:link:
:place:
:contact:

Wadhamini

UJUMBE

JH Katika Facebook

Nyayo zetu twitter

Za JuuMitandaoPiga Kura

Za Juu

Mitandao

Piga Kura

Je ungependa Tanzania iwe na serikali ngapi?
  
pollcode.com free polls 

ADVERTISEMENTS

Msimamo wa ligi mbalimbali

Football results provided by whatsthescore.com

Mechi Live

Walioko Hewani Kwa Sasa

item