SIASA: BAADA YA AMSHA AMSHA ZA UKAWA, TUNDU LISSU AWAHASA WANANCHI KUGOMBEA NAFASI ZA SERIKALI ZA MITAA

"TUNATEMBEZA BAKULI" Wakazi wa Kihesa wakijitolea kuchangia chama wakati Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu akipita na boksi kuchangisha michango kwa ajili kuwezesha kufanya mikutano mbalimbali ya kata jimbo la iringa mjini.Mwenye shilingi mia haya, mwenye mia tano haya....